Skip to main content

Ibn Mubaarak: Ee Allaah! Usimjaalie Mzushi Akanisaidia Ukaja Moyo Wangu Kumpenda!

Ee Allaah! Usimjaalie Mzushi Akanisaidia, Ukaja  Moyo Wangu Kumpenda!

Ibn Mubaarak (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com  

“Ee Allaah! Usimjaalie mzushi akanisaidia ukaja moyo wangu kumpenda.”

[Al-Llaalakaaiy katika Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah Wal-Jamaa’ah (1/140)]