Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Chukizo La Kuwaita Watoto Majina Ya Suwrah Za Qur-aan

Chukizo La Kuwaita Watoto Majina Ya Suwrah Za Qur-aan

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com 

“Na katika yanayokatazwa ni kuita (watoto) majina ya Qur-aan na ya Suwrah mfano Twahaa na Yaasiyn na Haamiym”

[Tuhfatul-Mawduwd (165)]