Swalaah Ya Usiku Inakinga Fitnah Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) www.alhidaaya.com Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema: “Miongoni mwa sababu za kujikinga na fitnah ni Swalaah ya usiku.” [Sharh Al-Bukhaariy, mj. 9]