Skip to main content

004-An-Nisaa: Aayah Na Mafunzo148-Aayah Na Mafunzo: Haifai Muislamu Kubishana Kwa Sauti Hadharani

Aayah Na Mafunzo

An-Nisaa

Haifai Muislamu Kubishana Kwa Sauti Hadharani

لَّا يُحِبُّ اللَّـهُ الْجَهْرَ بِالسُّوءِ مِنَ الْقَوْلِ إِلَّا مَن ظُلِمَ ۚ وَكَانَ اللَّـهُ سَمِيعًا عَلِيمًا ﴿١٤٨﴾

148. Allaah Hapendi uovu utajwe hadharani isipokuwa kwa yule aliyedhulumiwa. Na Allaah daima ni Mwenye kusikia yote, Mjuzi wa yote.

Mafunzo:

Haitakiwi kwa Muislamu, mabishano ya sauti hadharani isipokuwa ikiwa mtu amedhulumiwa haki yake na anaidai.