Skip to main content

Du'aa Za Nabiy ( )صلى الله عليه وآله وسلم009-Du’aa Za Nabiy ( ): Kutakaswa Madhambi Kama Inavyotakaswa Nguo Nyeupe Kutokana Na Uchafuصلى الله عليه وآله وسلم

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

Kuomba -Kutakaswa Madhambi Na Makosa Kama Inavyotakaswa

Nguo Nyeupe Kutokana Na Uchafu

 Alhidaaya.com

 اللَّهُمَّ طَهِّرْنِي مِنَ الذُّنُوبِ وَالْخَطَايَا، اللَّهُمَّ نَقِّنِي مِنْهَا كَمَا يُنَقَّى الثَّوْبُ الْأَبْيَضُ مِنَ الدَّنَسِ، اللَّهُمَّ طَهِّرْنِي بِالثَّلْجِ وَالْبَرَدِ وَالْمَاءِ الْبَارِدِ

Allaahumma Twahhirniy minadh-dhunuwbi wal khatwaayaa, Allaahumma naqqiniy minhaa kamaa yunaqqath-thawabul-abyadhwu minad-ddanasi, Allaahumma Twahhirniy bith-thalji walbaradi walmaail-baridi

Ee Allaah, Nitakase madhambi na makosa. Ee Allaah, nitakase dhidi ya hayo kama inavyotakaswa nguo nyeupe kutokana na uchafu. Ee Allaah, nitwaharishe kwa theluji, na barafu na maji ya baridi [At-Tirmidhiy, An-Nasaaiy]