066-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kutoshelezwa Vya Halali Dhidi Ya Haramu, Kutajirishwa Kwa Fadhila Za Allaah

 

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kutoshelezwa Kwa Vya Halali Dhidi Ya Haramu Na Kutajirishwa Kwa  Fadhila Za Allaah

 

 Alhidaaya.com

 

 

 066- Ee Allaah nitosheleze Vyako vya halali dhidi ya vyako ambavyo ni haramu

 

 

 اللَّهُمَّ اكْفِنِي بِحَلالِكَ عن حَرَامِكَ وَأغْنِنِي بِفَضْلِكَ عَمَّنْ سِوَاكَ

 

Allaahumma akfiniy bi-halaalika ‘an-haraamika waghniniy bi-fadhwlika ‘an man siwaak

 

Ee Allaah nitosheleze na Vyako vya halali  dhidi ya Vyako ambavyo ni haramu, na nitajirishe kwa fadhila Zako kutokana na asiyekuwa Wewe.

 

[At-Tirmidhiy, taz. Swahiyh Sunan At-Tirmidhy (2822)]

 

 

Share