Skip to main content

Saladi Ya Majani Ya Thomu (Garlic leaves) Na Lettuce

Saladi Ya Majani Ya Thomu (Garlic leaves) Na Lettuce

Vipimo 

Majani ya kitunguu thomu (garlic/saumu) misongo 2 (bunches)

Majani ya saladi ya lettuce kiasi

Nyanya

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika 

  1. Osha vizuri majani yote.
  2. Katakakata majani ya thomu na lettuce kisha changanya pamoja.
  3. Pamba katika sahani kwa nyanya na pakua kiasi utakacho.

 Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)