Skip to main content

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Mwezi Wa Ramadhwaan Ni Fursa Kwa Anayetaka Kuacha Sigara

Mwezi Wa Ramadhwaan Ni Fursa Kwa Anayetaka Kuacha Sigara

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Mwezi wa Ramdhwaan ni fursa kwa mwenye kuazima kikweli kutaka kuacha uvutaji uovu huu wa sigara unaodhuru.

[Imaam Ibn Uthaymiyn – Majmuw’ Fataawaa 193/183]