Skip to main content

Imaam Ahmad: Eneza Haki Na Sunnah Na Acha Mabishano Na Kukhasimiana

Eneza Haki Na Sunnah Na Acha Mabishano Na Kukhasimiana

Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com 

Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah) amesema:

"Elezea (fikisha) Sunnah, wala usikhasimiane kwa hilo."

[Al-Adaab Ash-Shar’iyyah Li-Ibni Muflih]