Skip to main content

Imaam Ibn Al-Jawziy: Eneza Elimu Iendelee Baada Ya Kufariki Kwako

Eneza Elimu Iendelee Baada Ya Kufariki Kwako

Imaam Ibn Al-Jawziy (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Al-Jawziy (Rahimahu Allaah) amesema:

Anayependa ‘amali zake zisikatike baada ya kufariki kwake, basi aeneze elimu.

[At-Tadhkirah: 55]