Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Wataingia Peponi Watu Ambao Mioyo Yao Ni Mfano Wa Mioyo Ya Ndege

Wataingia Peponi Watu Ambao Mioyo Yao Ni Mfano Wa Mioyo Ya Ndege

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Nimesoma Hadiyth ambayo inasema: “Wataingia Peponi watu mioyo yao ni mfano wa mioyo ya ndege…”, nini maana yake?

JIBU:

Maana yake, (mioyo hiyo) haina husda. Ni (mioyo) mitupu isiyo na husda (ndani yake). Ni mioyo kama ya ndege; ndio, na Hadiyth imepokelewa kutoka kwa Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).

[http://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/13800]