Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Uhasidi Ni Kupinga Qadhwaa Na Qadar Ya Allaah

Uhasidi Ni Kupinga Qadhwaa Na Qadar Ya Allaah

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

Uhasidi ni kupinga Qadhwaa na Qadar (Yaliyohukumiwa na Yaliyokadiriwa) ya Allaah kwa sababu kuhusudu ni kutoridhika kwamba Allaah Amempa mtu huyu mali au Amempa 'ilmu.

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (1569)]