Skip to main content

Imaam Ahmad: Eneza Haki Na Sunnah Na Jiepushe Na Mijadala Na Magomvi

Eneza Haki Na Sunnah Na Jiepushe Na Mijadala Na Magomvi

Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah) amesema: 

Itambulishe (ifundishe) Sunnah wala usiifanyie magomvi.”

[Al-Aadaab Ash-Shar-‘iyyah li-ibn Muflih]