Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Kutwaharisha Mate Ya Mbwa Yaliyoingia Nguoni Na Ngozini

Kutwaharisha Mate Ya Mbwa Yaliyoingia Nguoni Na Ngozini

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Vipi mtu ajitwaharishe mate ya mbwa pindi yanapoingia nguoni au ngozini kwa kulambwa na mbwa?

JIBU:

Aoshe mara saba.

[Sharhu ‘Umdatil-Fiqh, kanda namba 4, Swali la 1]