Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ingelikuwa Si Kuogopa Adhabu Ya Allaah Kuficha ‘Ilmu Nisingelimfutu Mtu

Ingelikuwa Si Kuogopa Adhabu Ya Allaah Kuficha ‘Ilmu Nisingelimfutu Mtu

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):

“Isingelikuwa hizaya kuficha 'ilmu na kuogopa adhabu ya Allaah, nisingelimfutu yeyote (nisingelitoa Fatwa kwa mtu) lakini natoa Fatwa kutaraji kusalimka nayo.”

[Majmuw’ Al-Fataawaa (26/419]