Skip to main content

Imaam Ibn Awn: Haanzishi Mtu Bid’ah Isipokuwa Allaah Ataondosha Moyoni Mwake Hayaa

Haanzishi Mtu Bid’ah Isipokuwa Allaah Ataondosha Moyoni Mwake Hayaa

Imaam Ibn ‘Awn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Ibn ‘Awn (Rahimahu Allaah):

“Haanzishi mtu bid’ah isipokuwa Allaah Ataondosha moyoni mwake hayaa na Atapandikiza badala yake ugumu (ususuavu).”

[Al-Ibaanah As-Sughraa (1/152)]