Skip to main content

Imaam Maalik: Anayetukana Maswahaba Hana Fungu Katika Uislamu

Anayetukana Maswahaba Hana Fungu Katika Uislamu

Imaam Maalik (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) amesema:

“Yule anayetukana Maswahaba hana fungu katika Uislamu.”

[Al-Ibaanah Asw-Swughraa (123)]