Skip to main content

Fataawaa: Twawaaf Na Sa'y04-Imaam Ibn Baaz:Twawaaf Na Sa’y Wakati Swalaah Ya Fardh Inaanza

Twawaaf Na Sa’y Wakati Swalaah Ya Fardh Inaanza

 Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Nini hukmu ya kutokumaliza twawaaf au Sa’y wakati Swalaah ya fardh imeanza kuswaliwa?

JIBU:

Inampasa asite, na aswali katika Jamaa, kisha aendelee twawaaf na sa’y yake pale alipofikia kabla ya kuanza Swalaah.

[Fataawa al-Hajj wal-‘Umrah waz-Ziyaarah – uk. 80]