Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Madhambi Yanasababisha Mtu Kuisahau ‘Ilmu Na Yale Aliyojifunza

Madhambi Yanasababisha Mtu Kuisahau ‘Ilmu Na Yale Aliyojifunza

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

Hakika Miongoni mwa Madhambi yanaweza kuwa ni sababu ya kufichika 'ilmu yenye kunufaisha, bali yanaweza kuwa ni sababu ya (mtu) kusahau yale aliyojifunza.

[Majmuw’ Al-Fataawaa (7/96)]