Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Wanaoshirikiana Katika Dhambi Na Uadui Huchukiana Wenyewe Kwa Wenyewe

Wanaoshirikiana Katika Dhambi Na Uadui Huchukiana Wenyewe Kwa Wenyewe

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah):

“Watu wakishirikiana katika dhambi na uadui basi (matokeo yake) ni huchukiana wenyewe kwa wenyewe.”

[Majmuw’ Al-Fataawaa (15/128)]