Skip to main content

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Miongoni Mwa Sababu Za Usalama Wa Moyo Kutokujishughulisha Na Dunia

Miongoni Mwa Sababu Za Usalama Wa Moyo Kutokujishughulisha Na Mambo Ya Dunia

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema: 

“Miongoni mwa sababu za usalama wa moyo ni kutokuushughulisha moyo wako na mambo ya dunia.”

[Al-Qawl Al-Mufiyd (1/232)]