Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Mipaka Ya Kumkhofu Allaah Ni Kujizuia Kutenda Madhambi

Mipaka Ya Kumkhofu Allaah Ni Kujizuia Kutenda Madhambi

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Al-Qayyim amesema:

“Nilimsikia Shaykhul-Islaam Ibn Taymiyyah akisema: “Mipaka ya khofu ni lenye kukuzuia kumuasi Allaah,  kwa hiyo mengineyo zaidi ya hivyo hayahitajiki.”

[Jaami’ Al-Adaab (1/348)]