Skip to main content

Imaam Ibn Baaz: Usiseme In Shaa Allaah Tutakutana Peponi Bali Muombe Allaah

Usiseme In Shaa Allaah Tutakutana Peponi Bali Muombe Allaah

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

Usisem “In Shaa Allaah (Allaah Akipenda) tutakutana Jannah (Peponi).” Bali sema:  “Tunamuomba Allaah Atukutanishe Peponi.” [Majmuw Al-Fataawaa (26.132)]