Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Miongoni Mwa Sababu Za Moyo Wa Huruma Na Kurudi Kutubia Kwa Allaah

Miongoni Mwa Sababu Za Moyo Wa Huruma Na Kurudi Kutubia Kwa Allaah

 Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema: 

“Tambua kwamba kushikamana na walio dhaifu na Mayatima na Watoto wadogo inaingiza Rahmah katika moyo na kuufanya laini na wenye huruma na kurejea kutubia kwa Allaah (‘Azza wa Jalla).”  [Sharh Riyadhw Asw-Swaalihiyn (3/89)]