Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kueneza ‘Ilmu Ya Dini Ya Allaah Ni Jihaad Fiy Sabiyli-LLaah

Kueneza ‘Ilmu Ya Dini Ya Allaah Ni Jihaad Fiy Sabiyli-LLaah

Imaam ‘Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam ‘Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Kueneza kwako ‘Ilmu ni kueneza Dini ya Allaah, hivyo utakuwa miongoni mwa Al-Mujaahidiyn fiy Sabiyli-LLaah (wenye kufanya juhudi katika njia ya Allaah). Kwa sababu kufanya hivyo utafungua nyoyo kwa ‘ilmu kama vile Mujaahid anavyofungua ushindi wa nchi kwa silaha na iymaan.”

[Sharh Du’aa Qunuwt Al-Witr (Uk 12)]