Skip to main content

Imaam Ibn Rajab: Swadaqah Bora Ni Kumfunza Jahili Au Kumzindua Aliyeghafilika

Swadaqah Iliyo Bora Ni Kumfunza Jahili Au Kumzindua Aliyeghafilika

Imaam Al-Haafidhw Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Al-Haafidhw Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Swadaqah iliyo bora kabisa ni kumfunza (Dini) aliye jahili (mjinga asiyejua mambo ya Dini yake), au kumzindua aliyeghafilika (mbali na Allaah),” 

[Majmuw’ Ar-Rasaail (1/187)]