Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Sifa Ya Mashaytwaan Wa Ki Bin-Aadam

Sifa Ya Mashaytwaan Wa Ki Bin-Aadam

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Vipi utaweza kuwatambua mashaytwaan wa ki bin-Aadam?

JIBU:

“Yeyote yule anayekuongoza katika maovu na mambo ya aibu basi yeye ndiye shaytwaan (katika mashaytwaan wa ki bin-Aadam).”

[Liqaa Al-Baab Al-Maftuwh (67)]