047-Hiswnul-Muslim: Pongezi Ya Kupata Mtoto Na Jibu Lake

Hiswnul-Muslim

047-Pongezi Ya Kupata Mtoto Na Jibu Lake

www.alhidaaya.com

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[145]

بَارَكَ اللَّهُ لَكَ فِي الْمَوْهُوبِ لَكَ وَشَكَرْتَ الْوَاهِبَ وَبَلَغَ أَشُدَّهُ وَرُزِقَتَ بِرَّهُ

 

Baaraka Allaahu laka fil mawhuwbi laka, wa shakartal-Waahiba, wa balagha ashuddahu, wa ruziqta birrahu.

 

Allaah Akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake.

 

Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

 

باَرَكَ اللَّهُ لَكَ وَبارَكَ عَلَيْكَ وَجَزَاكَ اللّهُ خَيْراً وَرزَقَكَ اللَّهُ مِثْلُهُ وأَجْزَلَ َثَوابَكَ

Baaraka Allaahu laka wa Baaraka ’alayka, wa Jazaaka Allaahu khayraa, warazaqaka-Allaahu mithluhu, wa ajzala thawaabaka

 

Allaah Akubariki na Ateremshe Baraka juu yako, na Allaah Akujaze kheri, na Allaah Akuruzuku mfano wake na Afanye nyingi thawabu zako[1].

 

 

 

 

 

[1]Angalia: ‘Al-Adkhaar An-Nawawiy’ (Uk. 349) na Swahiyh Adhkaar An-Nawawiy ya Sulaym Al-Hilaaliy (2/713)

 

 

Share