090-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kumuombea Aliyekusaidia Kwa Mali

Hiswnul-Muslim

090-Du’aa Ya Kumuombea Aliyekusaidia Kwa Mali

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[201]

بارَكَ اللهُ لَكَ في أَهْلِكَ وَمالِكَ

Baaraka Allaahu laka fiy ahlika wa maalika 

 

Allaah Akubariki katika familia yako na mali yako[1]

 

 

 

 


[1]Kauli ya ‘Abdur-Rahmaan bin ‘Awf (رضي الله عنه) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (4/288) [2049].

 

 

Share