Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwanamke Asikate Nywele Kushabihiana Na Ukataji Wa Wanaume
             
                   
                 
                        
                        
			                        Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwanamke Asikate Nywele Kushabihiana Na Ukataji Wa Wanaume
                                    
                        
              
    
  
      
  
  
    Mwanamke Asikate Nywele Kushabihiana Na Ukataji Wa Wanaume
 
Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
 
www.alhidaaya.com
 
 
 
Imaam Ibn Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
 
“Japokuwa mwanamke ameruhusiwa kukata nywele, lakini mkato wake wa nywele usishabihiane na mkato wa wanaume.”
 
 
[Asw-Swalaah, uk. 29]
 
 
