Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)030-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Wasiwasi Usingizini Au Kusikia Uoga Na Mfadhaiko

Hiswnul-Muslim

030-Du’aa Ya Wasiwasi Usingizini Au Kusikia Uoga Na Mfadhaiko

www.alhidaaya.com

 Bonyeza Hapa Usikilize

 [113]

أَعـوذُ بِكَلِمـاتِ اللّهِ التّـامّـاتِ مِن غَضَـبِهِ وَعِـقابِهِ، وَشَـرِّ عِبـادِهِ وَمِنْ هَمَـزاتِ الشَّـياطينِ وَأَنْ يَحْضـرون.

A’uwdhu bikalimatiLLaahit-taammati min ghadhwabihi wa ’iqaabihi, washarri ’Ibaadihi, wamin hamazaatish-shayaatwini wa an yahdhwuruwn

Najikinga kwa maneno ya Allaah yaliotimia kutokana na ghadhabu Zake na adhabu Yake na shari ya waja Wake na vioja vya mashaytwaan na kunijia kwao[1]

 

[1]Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Amruw bin Al-‘Aaasw (رضي الله عنه)  - Abu Daawud (4/12) [3893], na Taz Swahiyh At-Tirmidhiy (3/171). Taz pia Sharh Al-‘Aqiydah Al-Waasitwiyyah ya Muhammad Khaliyl Al-Haraas uk (103], na ya Al-‘Uthaymiyn (Uk. 217).