Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 09-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Akiona Damu Isiyothibitika Kuwa Ni Hedhi Nini Hukmu Ya Swawm Yake?

09-Akiona Damu Isiyothibitika Kuwa Ni Hedhi Nini Hukmu Ya Swawm Yake

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Mwanamke akiona damu lakini hakuthibitisha au kuwa na hakika kuwa ni damu ya hedhi. Ni nini hukumu ya Swawm yake siku ile?

JIBU:

Swawm yake siku ile ni sahihi kwani asili ya jambo ni kuwa hana hedhi hadi athibitishe kuwa ana hedhi.