Skip to main content

Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja)04-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Inafaa Kumkosoa Anayechinja Kwa Ajili Ya Maiti

Inafaa Kumkosoa Anayechinja Kwa Ajili Ya Maiti?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Je katika hali hiyo (kuchinja kwa asiyekuwa Allaah) tunatakiwa kumkosoa aliyechinja kwa ajili ya maiti?

JIBU:

Lau mtu akifanya hivyo hatutomkosoa bali tutamuelekeza kile kilicho bora zaidi nayo ni dua'a kwa maiti.

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/122)]