Skip to main content

Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja)10-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Unapochinja Unatakiwa Kusema Nini?

Unapochinja Unatakiwa Kusema Nini?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Unasema nini unapochinja?

JIBU:

Anasema mtu anapotaka kuchinja:

بسم الله والله اكبر، اللهم هذا منك ولك اللهم هذه عني و عن اهل بيتي  

((BismiLLaah, wa Allaahu Akbar, Ee Allaah hii ni kutoka Kwako na kwa ajili Yako, Ee Allaah hii ni kutoka kwangu na kwa kutoka kwa ahli yangu))

 [Majmuw’ Al-Fataawaa (25/55)]