Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 27-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuonja Chakula Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Mwenye Swawm Inafaa?

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

27-Kuonja Chakula Mchana Wa Ramadhwaan Kwa Mwenye Swawm Inafaa?  

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Nini hukumu ya kuonja chakula katika mchana wa Ramadhwaan kwa mwanamke aliyefunga?

JIBU:

Si vibaya kulingana na haja iliyopo lakini ateme anachokionja baada ya kuonja.