Skip to main content

Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi

(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)

Alhidaaya.com

الْخَلاَّقُ

الْخَلاَّقُ

Al-Khallaaq

Muumbaji Wa Kila Namna Kwa Wingi

Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

إِنَّ رَبَّكَ هُوَ الْخَلَّاقُ الْعَلِيمُ﴿٨٦﴾

Hakika Rabb wako Ndiye Mwingi wa kuumba Atakavyo, Mjuzi wa yote. [Al-Hijr (15): 86]