72-Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi: الْوارِثُ
Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi
(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)
الْوارِثُ
| الْوارِثُ Al-Waarith Mrithi Kwa Kuondosha Viumbe Wote Na Kubaki Yeye Tu 
 | 
Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):
وَإِنَّا لَنَحْنُ نُحْيِي وَنُمِيتُ وَنَحْنُ الْوَارِثُونَ﴿٢٣﴾
Na hakika Sisi Tunahuisha na Tunafisha; na Sisi ndio Warithi. [Al-Hijr (15): 23]
 
      
    
      
   
     
    
