Skip to main content

10C-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: عَقْدُ الزَّوَاجِ Kufunga Ndoa13-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Kufunga Ndoa: Masharti Ya Kuswihi ‘Aqdi Ya Ndoa: Sharti La Pili: Ridhaa Ya Mwanamke Kabla Ya Kuolewa

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

كِتَابُ الزَّوَاجِ

Kitabu Cha Ndoa

عَقْدُ الزَّوَاجِ

Kufunga Ndoa

Alhidaaya.com

13:  Masharti Ya Kuswihi ‘Aqdi Ya Ndoa: Sharti La Pili: Ridhaa Ya Mwanamke Kabla Ya Kuolewa:

Nyuma tushasema kwamba walii hana mamlaka ya kumlazimisha mwanamke kuolewa na mtu asiyemtaka, na ikiwa atamlazimisha, basi mwanamke ana haki ya kuwasilisha mashtaka yake kwa kadhi ili kuivunja ndoa.