Skip to main content

Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr25-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Markaz Kununua Chakula Cha Zakaatul-Fitwr Mapema Ili Kuwuazia Waislamu

Markaz Za Kiislamu Kununua Chakula Cha Zakaatul-Fitwr Mapema Ili Kuwuazia Waislamu

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Markazi za Kiislamu nchi za Magharibi inataka kununua  vyakula kama mchele, mapema sana kabla ya 'Iyd tuseme siku kumi kabla. Kisha watatangaza kuwa wako tayari kupokea pesa za Zakaatul-Fitwr kutoka kwa Waislamu ili wazigawe kwa ajili yao. Hii ni kwa sababu haiwezekani kununua kiasi ya chakula wakipokea pesa siku mbli kabla ya 'Iyd. Nini Hukmu Yake? 

JIBU:

Hakuna ubaya kwa Markazi kununua chakula mapema kisha kuwauzia wanaotaka kununua Zakaatul-Fitwr kisha kuigawa kabla ya wakati wake.

[Imaam Ibn ‘Uthaymiyn [Fataawaa (71475)]