Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Hatutafuti Radhi Za Watu, Tunatafuta Radhi Za Allaah

 
Hatutafuti Radhi Za Watu, Tunatafuta Radhi Za Allaah
 
 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

Alhidaaya.com

 
 


Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:
 
 
"Hatutafuti radhi za watu.

Hatutafuti sifa kutoka kwa watu.

Tunachokitaka ni kumridhisha Allaah Ta'aalaa."
 
 
[Maswali Na Majibu Muhimu Kuhusiana Na Manhaj Ya Salafiy, uk.30]