Skip to main content

Imaam Ibn Batwah Al-'Ukbariy - Mwenye Kusikia Haki Akaipinga

Mwenye Kusikia Haki Akaipinga

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Batwah Al-'Ukbariy (Rahimahu Allaah) amesema:

"Anayeisikia Haki akaipinga baada ya kuijua, basi huyo ni miongoni mwa wenye kiburi.

Na anayeinusuru kosa (au ovu), basi ni miongoni mwa kundi la Shaytwaan."

[Al-Ibaanah 2/54]