Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fanya Khayr Zote Lakini Kama Huswali, Hutonufaika

Fanya Khayr Zote Lakini Kama Huswali, Hutonufaika

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

“Mtu ambaye anafanya khayr, anatoa Swadaqah, ana mafungamano mazuri ya kindoa, ana tabia njema, anaunga udugu, na mengine yasiyokuwa hayo…lakini haswali, basi yote hayo hayatomnufaisha chochote mbele ya Allaah.”

[Majmuw’ Fataawaa Wa Rasaail Fadhwiylat Ash-Shaykh Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn]