Skip to main content

Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu19-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, waliokufa wanasikia wito?

 Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com

19- Je, waliokufa wanasikia wito?

Hapana! Waliokufa hawasikii wito.

إِنَّكَ لَا تُسْمِعُ الْمَوْتَىٰ

Hakika wewe huwezi kusikilizisha wafu [An-Naml: 80]. 

 وَمَا أَنتَ بِمُسْمِعٍ مَّن فِي الْقُبُورِ ﴿٢٢﴾

Nawe huwezi kuwasikilizisha walioko kaburini. [Faatwir: 22]

((إنَّ لِلَّهِ ملائكةً سَيّاحِين فِي الأرْضِ يُبَلّغوني عَنْ أُمّتي السَّلام)) رواه أحمد

((Hakika Allaah Anao Malaika wanaozunguka katika ardhi wakinifikishia salaam kutoka kwa ummah wangu)) [Ahmad]