Skip to main content

Mukhtasari Wa 'Aqiydah Ya Muislamu: Maswali Na Majibu31-Mukhtasari Aqiydah Ya Muislamu: Je, Waumini watamuona Rabb wao watakapoingia Jannah?

Mukhtasari Wa ‘Aqiydah Ya Muislamu

Maswali Na Majibu Pamoja Na Dalili Kutoka Qur-aan Na Sunnah.

Imetarjumiwa na: Alhidaaya.com

 31-Je, Waumini watamuona Rabb wao watakapoingia Jannah?

Naam. Waumini watamuona Rabb wao watakapoingia Jannah.

وُجُوهٌ يَوْمَئِذٍ نَّاضِرَةٌ ﴿٢٢﴾

Nyuso siku hiyo zitanawiri.

إِلَىٰ رَبِّهَا نَاظِرَةٌ﴿٢٣﴾

Zikimtazama Rabb wake. [Al-Qiyaamah: 22-23]

 (إنَّكُمْ سَتَرون رَبكُم) رواه البخاري ومسلم

((Hakika nyinyi mtamuona Rabb wemu)) [Al-Bukhaariy na Muslim]