Skip to main content

003-Aal-'Imraan: Aayah Na Mafunzo102-Aayah Na Mafunzo: Hukmu Ya Kufutwa Enyi Walioamini Mcheni Allaah Kama Ipasavyo…

Aayah Na Mafunzo

Aal-‘Imraan  

Hukmu Ya Kufutwa Enyi Walioamini Mcheni Allaah Kama Ipasavyo…

Alhidaaya.com

Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّـهَ حَقَّ تُقَاتِهِ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسْلِمُونَ ﴿١٠٢﴾

 102. Enyi walioamini! Mcheni Allaah kama apasavyo kuogopwa na wala msife isipokuwa nyinyi (mmeshakuwa) ni Waislamu. [Aal-'Imraan: 102]

Mafunzo:

An-Naasikh Wal-Nasuwkh:  Aayah hii imefutwa hukmu yake kwa Aayah “Basi mcheni Allaah muwezavyo[At-Taghaabun 64: 16]