Skip to main content

Fataawaa: Hukmu Mbali Mbali Za Swawm03-Imaam An-Nawawiy: Miaka Mingapi Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Alifunga Ramadhwaan

Miaka Mingapi Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Alifunga Ramadhwaan

Imaam An-Nawawiy (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Ni miaka mingapi Mtume (Swala Allaahu ’alayhi wa sallam) alifunga mwezi wa Ramadhwaan?

JIBU:

Alifunga (Ramadhwaan) miaka tisa. Swawm ilifaradhishwa mwezi wa Sha’baan mwaka wa 2 baada ya Hijrah.

[Fataawa  Imaam An-Nawawiy, uk. 55]