Skip to main content

Fataawaa: Hukmu Mbali Mbali Za Swawm10-Shaykh Al-Ghudayaan: Swawm Na Mazoezi Ya Kiaskari Katika Ramadhwaan

Swawm Na Mazoezi Ya Kiaskari Katika Ramadhwaan

Shaykh Al-Ghudayaan

www.alhidaaya.com

 

SWALI: 



Najua kuwa kupigana katika Ramadhwaan haijuzu. Je, hili linahusu pia mazoezi ya Kiaskari (mazoezi ya ngumi n.k.)? 

JIBU:

Hapana! Mazoezi ya kiaskari hakuna tatizo.