Skip to main content

Fataawaa: Hukmu Mbali Mbali Za Swawm09-Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Mwanamke Alikuwa Mgonjwa Akafariki Naye Hakufunga Ramadhwaan

Mwanamke Alikuwa Mgonjwa Akafariki Naye Hakufunga Ramadhwaan

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan

www.alhidaaya.com

SWALI: 

 

Mwanamke kasibiwa na maradhi akafariki naye hakufunga Ramadhwaan na wala hakulipa, je alipiwe?

 JIBU:

Ikiwa aliacha kufunga swiyaam kwa ajili ya maradhi na akafa kwayo, hana juu yake kitu. 

Fataawa Shaykh Al-Fawzaan