Skip to main content

Fataawaa: Hukmu Mbali Mbali Za Swawm21-Shaykh Al-Fawzaan: Kupongezana "Kullu 'Aamin Wa Antum Bikhayr" Haimo Katika Shariy'ah

Kupongezana "Kullu 'Aamin Wa Antum Bikhayr" Haimo Katika Shariy'ah

Shaykh Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Aliulizwa Shaykh Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):

“Je, kupongezana kwa kuambiana “Kullu ‘aamin wa antum bikhayr” katika masiku haya ni jambo lililo katika shariy’ah?”

Akajibu (Hafidhwahu Allaah):

“Hapana. Si jambo lililo katika shariy’ah, na wala hili halijuzu.”

[Al-Ijaabaat Al-Muhimmah Fiy Al-Mashaakil Al-Mudlahimmah, uk. 229]