Skip to main content

Fataawaa: 'Itikaaf (Kubakia Msikitini Kufanya 'Ibaadah)16-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: I’tikaaf Inaanza Lini?

I’tikaaf Inaanza Lini?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

16. I’tikaaf Inaanza Lini?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

‘Ulamaa wote wamekubaliana kwamba I’tikaaf inaanza usiku wa (kuamkia tarehe) ishirini na moja, na si Alfajiri ya ishirini na moja.  

[Majmuw’ Al-Fataawaa (20/160)]